#UchaguziMkuu2025 | Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla mapema leo amepiga kura katika kituo chake cha AICC Hospitali, Jijini Arusha.

Baada ya kupiga kura, Makalla amewahakikishia wananchi kuwa hali ya usalama iko shwari, na amewataka wote wenye sifa kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaowaongoza kwa miaka mitano ijayo.

#AzamTVUpdates #UchaguziMkuu2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *