#UchaguziMkuu2025 | Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala akieleza hali ilivyo wakati zoezi la upigaji kura limeanza asubuhi hii, amehamasisha watu kujitokeza kupiga kura na kusisitiza kuwa hali ya usalama na utulivu vimetawala.
#AzamTVUpdates #UchaguziMkuu2025