#UchaguziMkuu2025 | Spika wa Bunge ambaye ni mgombea wa Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson alivyopiga kura yake katika kituo cha Shule ya Msingi Tambukareli.
Ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kutumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi wanaowataka.
✍ Kakuru Msimu
#UchaguziMkuu2025 #AzamTVUpdates