#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega amepiga kura yake, katika Kituo cha kupiga kura cha Ofisi ya Kijiji cha Mwanambaya na kuwataka wananchi kujitokeza kutimiza haki yao ya kimsingi katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya utekelezaji wa tukio hilo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
