DCEA yateketeza tani nne za dawa za kulevya zilizohifadhiwa kama vielelezo
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeteketeza zaidi ya tani nne za...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeteketeza zaidi ya tani nne za...
Samia Suluhu Hassan, mgombea urais kwa tiketi ya CCM, amehitimisha kampeni kanda ya Kaskazini...
#HABARI: Mbunge Mteule wa Viti Maalum watu wenye Ulemavu Ummy Nderiananga amemtaja Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi kama kipenzi…
#HABARI: Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Usongwe, katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, mkoani Mbeya, wameiomba Serikali kuboresha miundombinu ya shule hususani kujengewa mabweni katika shule hiyo ili kupunguza msongamano,…
Stoo ya kuhifadhia manukato (pafyumu) iliyoko katika ghorofa ya barabara za Msimbazi na...
Israel imesema kuwa wanajeshi wake bado wanaendesha operesheni katika Ukanda wa Gaza na imewaonya wakaazi wasirudi, licha ya miito kutoka kwa familia za mateka na Donald Trump ya kusitisha mapigano…
Wakati ghasia na hali ya kutoeleweka zinaendelea kuitesa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini humo Bintou Keita amesisitiza…
Hali ya kutisha na ukosefu wa huduma muhimu za afya sasa vimefurutu ada katika Ukanda wa Gaza, eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israeli, huku wahudumu wa afya wakijikuta katika…
#HABARI: Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tayari wamejitokeza kwa wingi wakiendelea na shamrashamra za kumsubiri na kumpokea mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama hicho Dkt Hussein…
Wivu, unapokuwa na kiasi, unaweza kuwa kichocheo cha mafanikio…kukutia msukumo wa kufanya zaidi, kuboresha maisha yako na kufanikisha ndoto zako. Watu wachache wanaotumia wivu kwa namna chanya huweza kuona mafanikio…
Katika kuendelea sera za undumakuwili za kundi la G-7 mkabala wa Iran; kundi hilo limedai kuwa linataka kuendeleza diplomasia mkabala wa kadhia ya nyuklia ya Iran.
Viongozi wa kimataifa wamekaribisha hatua ya awali ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ya kukubali kushiriki katika mazungumzo ya amani yaliyosubiriwa kwa muda mrefu, yakilenga kumaliza vita…
Waandamanaji waliokusanyika nje ya ubalozi wa utawala wa Israel nchini Afrika Kusini siku ya Ijumaa wametoa wito wa kuachiliwa kwa wanaharakati raia wa Afrika Kusini na wengine wote waliotekwa nyara…
Familia za mateka wa Israel wanaoshikiliwa Gaza, wamesema leo Jumamosi kuwa ni muhimu kukomesha vita vya Gaza mara moja, huku jeshi la Israel likishambulia eneo hilo.
Halmashauri ya Wilaya ya Gairo kwa kushirikiana na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) imeanza mkakati wa kukuza sekta ya utalii kwa kufanya maboresho katika vivutio vya utalii vinavyopatikana katika wilaya…
Serikali ya Misri imeituhumu Ethiopia kuwa imefanya 'uzembe na haina uwajibikaji” katika usimamizi wa mafuriko ya Mto Nile kupitia uendeshaji wa upande mmoja wa bwawa lake kubwa, ikisema hatua hizo…
Jeshi la Urusi limefanya mfululizo wa mashambulizi ya droni ya usiku kucha dhidi ya Ukraine. Haya yamesemwa leo na mamlaka ya nchi hiyo.
#HABARI: Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ambaye ni Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwa wilayani Liwale, mkoani Lindi, kwenye mkutano wa kampeni ameelezea namna Mwanasiasa Mkongwe na…
Mamilioni ya watu nchini Somalia wanakabiliwa na njaa inayozidi kuwa mbaya, kufuatia kupunguzwa kwa misaada ya wafadhili, hali inayoliweka shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP)…
Iran leo Jumamosi imetekeleza hukumu ya kifo dhidi ya wafungwa sita wanaodaiwa kufanya mashambulizi katika eneo la kusini magharibi lenye utajiri mkubwa wa mafuta kwa niaba ya Israel.
Utafiti wa kitaaluma umefichua jinsi kampeni ya kisasa inayotumia Akili Mnemba(AI) ilivyolenga kuchochea harakati za uasi ndani ya Iran, wakati wa vita vya kichokozi na vilivyokuwa kinyume cha sheria vilivyoendeshwa…
Jeshi la Sudan limetangaza kuuawa kwa idadi kubwa ya wapiganaji wa kigeni, wakiwemo mamluki wa Kiukraine, waliokuwa wakiunga mkono kikosi cha waasi cha Rapid Support Forces (RSF) katika vita vya…
Polisi nchini Uingereza leo Jumamosi imewahoji watu sita waliokamatwa kwa tuhuma za makosa ya ugaidi baada ya shambulio dhidi ya sinagogi moja huko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
Kuondoka kwa Daalder kumetokea wiki chache tangu aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids kuikacha Simba na kujiunga na Raja Casablanca ya Morocco.
Shirika la Kupambana na Matumizi ya Dawa za Kusisimua Misuli Duniani (WADA) limesema kwamba Kenya imepiga hatua kubwa katika kusafisha mifumo yake, na likachelewesha vikwazo dhidi ya taifa hilo.
Kuondoka kwa Daalder kumetokea wiki chache tangu aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids...
Wadau wa elimu nchini wamehimizwa kuwekeza katika kuongeza motisha ya kujifunza kwa watoto sambamba na kukuza hali ya ufundishaji kwa waalimu, ili kuongeza ubora wa elimu na kufanikisha malengo yaliyoainishwa…
Ujumbe wa madaktari bingwa, wataalamu na watoa huduma za afya 52 umeondoka nchini kuelekea visiwa vya Anjouan, Comoro kwa lengo la kutoa matibabu ya magonjwa mbalimbali huku pia wakikuza dhana…
Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wamesisitiza haja ya kuwa macho dhidi ya mpango wa Rais wa Marekani wa kusitisha vita huko Gaza.
Mawakili wa Chouchane wamesema mtuhumiwa huyo ni mfanyakazi kibarua mwenye elimu ndogo...
#HABARI: Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), mkoani Pwani, wapo katika hatua za kusitisha mikataba ya makandarasi wawili wa kampuni ya Haricom International Ltd na Trinity Manufacturing Services…
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeteketeza jumla ya kilogramu 4,402.02 za dawa za kulevya katika kiwanda cha saruji cha Twiga, kilichopo Wazo, jijini Dar es…
Timu hizo zimewahi kukutana mara 66 katika Ligi Kuu England ambapo Chelsea imepata ushindi mara...
Jimbo la Mtumba lenye kata 20 na mitaa 101, lilizaliwa kutoka Jimbo la Dodoma, ambalo awali...
#HABARI: Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwa wilayani Liwale, mkoani Lindi, kwenye kampeni za kunadi sera za…
Niliingia nikipishana na warembo wengi kuliko viti na chupa za bia. Ni eneo ambalo mwenye ndoa...
MABOSI wa KMC wako katika mchakato wa kutafuta ofisa mtendaji mkuu mpya (CEO), baada ya Daniel Mwakasungula, aliyekuwa anashikilia nafasi hiyo kumaliza mkataba, huku kukiwa hakuna mazungumzo mapya ya kuongeza…
Tafiti zimebaini kuwa ukosefu wa miti ya kutosha katika mashamba unasababisha upotevu mkubwa wa maji, jambo linaloweza kuchochea ongezeko la magonjwa yanayohusiana na joto, ikiwemo magonjwa ya figo. Akizungumza katika…
Hadithi nyingi za wanamuziki wakongwe au vikundi vya muziki vya zamani vilivyo maarufu huwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linawashikilia watu 15 kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya watu watano yaliyotokea wilayani Tunduru. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma,…
Manowari ya kifaransa yenye uwezo maalum wa kujihami dhidi ya mashambulizi ya anga imeanza mazoezi maalum yanayojulikana kama “Wildfire 2025” katika Bahari ya Mediterania. Kwa muda wa siku tano, wanamaji…
Mwanamuziki nguli wa R&B, Toni Braxton, 57, anatarajiwa kuonekana katika filamu mpya...
Mwanamuziki maarufu wa Bongofleva, Nandy hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya, Sweety (2025)...
#HABARI: Viongozi Wakuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Ndg. John Heche, wameburuzwa mahakamani baada ya kukiuka amri ya Mahakama KUU iliyoweka…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha kwa mikono miwili taarifa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas inayoonyesha utayarifu wake wa kuwaachilia mateka na kukubali kwa masharti…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Bagher Ghalibaf amesisitiza kuwa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ingali "hai na inafanya kazi zake kama kawaida",…
🔴MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA KATIKA KAMPENI BABATI
#HABARI: Wadau na washiriki mbalimbali wameiomba Serikali kuendelea kutoa mchango, katika sekta ya afya ikiwa ni pamoja na kuimarisha mifumo, pamoja na mawazo mapya katika sekta hiyo, ili kuendelea kuboresha…
Waislamu kote nchini Nigeria waliingia barabarani baada ya Swala ya Ijumaa hapo jana kulaani shambulio la Israel dhidi ya msafara wa kimataifa wa Sumud, wenye makumi ya meli zinazoelekea katika…
Mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Sudan Kusini yamesababisha vifo vya watu 19 na kuathiri wengine karibu 640,000 katika kaunti 26 katika majimbo sita ya nchi hiyo, hayo yamesemwa…