RC Mara: Bodaboda wote kupatiwa mafunzo ya udereva Veta
Amebainisha kuwa bodaboda wana mchango mkubwa katika uchumi wa jamii na taifa kwa ujumla, hivyo...
Amebainisha kuwa bodaboda wana mchango mkubwa katika uchumi wa jamii na taifa kwa ujumla, hivyo...
Magaidi sita wanaohusishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel wamenyongwa nchini Iran mapema leo Jumamosi.
#HABARI:Aliyekua Mbunge wa Viti maalum Cecilia Paresso ameshangazwa na baadhi ya wanasiasa waliosusia uchaguzi, ambao ni huru na wa haki, licha ya vyama 18 kushiriki uchaguzi, ambapo amewataka wananchi wilayani…
Mgombea ubunge wa Mbagala kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Khadija Mwago...
#SwaliLaKipimaJoto:Tabia ya kusubiri majanga ndipo hatua zichukuliwe. Je, inasaidia ujenga jamii inayowajibika
🔴MAGAZETI:SAMIA AKOSHWA NA ARUSHA YA KIJANI / KOCHA MPYA SIMBA MBELE KWA MBELE
Chombo komoja cha habari cha utawala wa Kizayuni kimedai kuwa jeshi la Israel limeamuru kupunguzwa operesheni za kijeshi huko Ghaza baada ya Hamas kukubali kwa masharti mpango wa nukta 20…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 04, 2025
Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka ili kuzuia mauaji makubwa ya kikabila yanayoendelea kutekelezwa kwenye mji wa El-Fasher, magharibi mwa Sudan.
Maandamano yanaendelea nchini Morocco, kushinikiza mageuzi kuhusu namna huduma zinavyotolewa kwa wananchi, lakini pia kumaliza visa vya ufisadi.
Zaidi ya watu 16,000 wameuawa tangu mwaka 2022 huko Haiti, kisiwa kilichokumbwa na ghasia za magenge, Umoja wa Mataifa umesema katika ripoti yake. Aidha Umoja wa Mataifa umeonya ukisema kwamba…
Zaidi ya watu 16,000 wameuawa tangu mwaka 2022 huko Haiti, kisiwa kilichokumbwa na ghasia za magenge, Umoja wa Mataifa umesema katika ripoti yake. Aidha Umoja wa Mataifa umeonya ukisema kwamba…
Trump ametoa amri ya kiutendaji akidai kuwa shambulio lolote katika ardhi ya Qatar litahesabiwa kuwa tishio la usalama kwa Marekani.
Leo ni Jumamosi 11 Mfunguuo Saba Rabiu Thani 1447 Hijria mwafaka na 4 Oktoba 2025 Miladia.
Viongozi mbali mbali wapongeza mpango wa Trump wa amani kwa Gaza++++Rais mpya wa Malawi Peter Mutharika aapa kukabiliana na ufisadi++++Maelfu ya waomba hifadhi waliokatiliwa Ujerumani wanadaiwa kujificha+++Tunisia yamhukumu kifo mwanamume…
Familia za mateka wa Israel wanaoshikiliwa Gaza zataka kusitishwa kwa vita++++ Iran yatekeleza hukumu ya kifo dhidi ya wafungwa sita kwa kushirikiana na Israel++++WADA yaipa Kenya afueni ya vikwazo vya…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Mwanamuziki wa Hip-hop na mfanyabiashara maarufu kutoka Marekani Sean “Diddy” Combs...
Hamas imesema imekubali baadhi ya vipengele vya mpango wa amani wa Rais Donald Trump kumaliza vita Gaza, ikiwemo kuachia madaraka na kuachia mateka, lakini vipengele vingine vinahitaji mashauriano zaidi ya…
Miaka mitatu tangu Kapteni Ibrahim Traoré achukue madaraka, Burkina Faso inakabiliwa na ukandamizaji, hofu na propaganda mitandaoni. Aliahidi kurejesha usalama, lakini wanajihadi wanaendelea kudhibiti maeneo makubwa.
"Serikali imehakikisha pato la Mwananchi linainuka" Dr Siriel Mchembe - Mchumi na Mhadhiri IFM Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa,…
"Kwa mara ya kwanza tumeshuhudia sio tu Tanzania kujitosheleza kwa kilimo, bali sasa tuna akiba ya chakula kwa miezi minne, maana yake ni kwamba kama Watanzania hatutavuna tuna uwezo wa…
"REA wamepeleka nguzo za umeme hadi maporini unakwenda Vijijini huko unakutana na Transformer kwa sababu wameona kunamtu ameweka msingi wamepeleka umeme mpaka pale msingi ulipo, nchi hii tunafanya analysis Vijiji…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 03, OKTOBA 2025
Ni mwezi mmoja tu umesalia, kabla ya Watanzania kufanya uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais.
"Nchi yoyote ikiwa haina amani huwezi kuamka asubuhi ukaenda kazini, huwezi kufanya biashara, kwa hiyo duniani kote unakoona jambo la kwanza wanapigania Amani" Deodatus Balile - Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri…
Mgombea Urais ambaye pia ni Rais anayetetea kiti hicho, Dkt. Samia Suluhu Hassan wa CCM ameahidi kufanya mapinduzi ya kilimo cha ngano hadi kufikia uzalishaji wa tani milioni moja ifikapo…
#HABARI: Mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU) Majalio Kyara, ameahidi kumaliza changamoto ya upatikanaji wa soko la…
Chama cha NLD kupitia kwa mgombea wake wa Urais, Doyo Hassan Doyo kimeahidi kutafuta masoko ya kudumu ya bidhaa za shambani zinazozalishwa na wakulima wa mkoa wa Njombe. Doyo ametoa…
Mgombea urais Yustas Rwamugira wa Chama cha TLP amesema serikali atakayoiunda akifanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu itajikita katika utoaji wa mikopo kwa wafanyabiashara kote nchini ili kukuza mitaji yao na baadae…
#HABARI: Viongozi wa upinzani nchini Kenya wakiongozwa na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka, aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua na Eugene Wamalwa, wameikosoa serikali kutokana na kile walichokitaja kama unyakuzi…
Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu ameahidi kuja na mkakati wa uchakataji na kuongeza thamani za bidhaa za ndani badala ya kupeleka malighafi nje ya…
"Ninajua mawasiliano ya simu katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Hanang siyo mazuri kabisa, serikali tunalijua hilo, ila tunajipanga kujenga minara mitano ya mawasiliano ili mawasiliano yawe sawasawa, tunajua…
@hoseamchopa amezungumza na Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, @ahmedally_ ambaye amesema wao wamempa majukumu ya ‘kumeneji’ benchi la ufundi la Simba na kama aliweza kusimamia…
Kila Ijumaa ya kwanza ya Oktoba dunia huadhimisha ‘Siku ya Kutabasamu’ huku urafiki, udugu na ushirikiano ukitajwa kuwa muhimu katika kuwasaidia watu watabasamu. Je, wewe unatabasamu kwa furaha au unaficha…
Kamati ya Utendaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 2, 2025 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya ligi na kufanya…
Idadi ya wagonjwa wa saratani nchini huenda ikaongezeka kwa takribani mara tatu ya sasa kutokana na mabadiliko ya mitindo ya maisha. Hayo yamesemwa na Rais wa Chama cha Madaktari Bingwa…
Mgombea ubunge Uyole Dk Tulia Ackson amesema atashughulikia kero ya ukosefu wa mikopo...
Tanga. Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amewaomba wakazi wa Jiji la...
Mdahalo huo ni sehemu ya maandalizi ya kampeni ya kimataifa ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa...
#HABARI: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imeteketeza jumla ya kilogram 4,402.02 za Dawa za Kulevya katika kiwanda cha Saruji cha Twiga, kilichopo Wazo, jijini Dar…
🔴KIPIMAJOTO: ILANI YA CCM 2020-2025 JE,IMETEKELEZWA IPASAVYO KUJENGA IMANI KWA ILANI YA 2025-2030, OKTOBA 03, 2025
Wito huo umetolewa leo Oktoba 3, 2025 na Mhandisi wa Petroli wa EWURA Kanda ya Kati, Rose...
Kafulila amesema utafiti huo umelenga kubaini kinachosababisha ucheleweshaji wa miradi ya ubia...
Mgombea urais wa Zanzibar (ACT Wazalendo), Othman Masoud Othman amesema endapo akishika...
Jumla ya watoto 15,000 waliozaliwa na matatizo ya mdomo wazi (mdomo sungura) nchini wamepatiwa...
Mwili wake uligundulika ukiwa umening’inia kwa kamba ya katani iliyokuwa imefungwa juu ya kenchi.
Tanzania na Kenya zimeondoa vikwazo vinne vya kibiashara visivyo vya kiushuru kati ya vikwazo 14 vilivyojadiliwa katika mkutano wa tisa wa Kamati ya Pamoja ya Biashara baina ya nchi hizo…
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na taasisi ya Heart Team Afrika (HTAF) wameandaa mashindano ya uandishi wa insha kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari…
Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 41:21 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa Wachezaji.