EABC yaja na dawati la kidijitali kukuza biashara ya kuvuka mpakani
Baraza la Biashara Afrika Mashariki (EABC) limezindua dawati la kidijitali la utoaji taarifa...
Baraza la Biashara Afrika Mashariki (EABC) limezindua dawati la kidijitali la utoaji taarifa...
Gaza. Mjukuu wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela, Nkosi Zwelivelile Mandla...
đź”´TAARIFA YA HABARI SAA MBILI OKTOBA 03 , 2025 - KAMPENI ZA UCHAGUZI ZASHIKA KASI MIKOA MBALIMBALI
Soma zaidi hapa...
Wafanyabiashara wa samaki kutoka Soko la Feri Kivukoni hadi Kimara wanasema kabla ya ujio wa...
#HABAI: Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendelea kupeleka pembejeo za mbolea ya ruzuku kwa wakulima wa Wilaya ya Hanang, Mkoa…
#HABARI: Mashabiki na wanachama wa Simba kwa sasa wana hamu ya kuona klabu yao, ikimtangaza kocha mpya kabla ya wiki hii kumalizika, ambapo mpaka sasa Kocha Mbulgaria kutoka Gaborone United…
Wakati Tanzania ikielekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, mitandao ya kijamii imekuwa kitovu cha kampeni na mijadala ya kisiasa. Je, kura zitaamuliwa majukwaani, au kwa "like", "share" na mijadala ya mtandaoni?
#HABARI: Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) kimesaini makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Kuimarisha Uwajibikaji nchini (WAJIBU), kwa lengo la kufanya utafiti utakaobainisha changamoto…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz ametoa wito wa uwepo wa mwanzo mpya kwa Ujerumani katika hotuba yake aliyoitoa leo, taifa hilo linapoadhimisha miaka 35 tangu kuungana kwa Ujerumani ya Mashariki…
#HABARI: Hali ya majonzi imetanda katika Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro baada ya mwanamke mmoja mwenye umri wa takriban miaka 36 kufariki dunia usiku akidaiwa kuwa…
Amesema taasisi za fedha zinatakiwa kubadilika kwani zinachangia kuchelewesha maendeleo kwenye...
Mradi wa BRT ulianzishwa kwa lengo la kuondoa kero ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam.
Tarehe 3 Oktoba, Ujerumani huadhimisha kuungana tena kwa pande za Mashariki na Magharibi. Lakini iliwezekanaje? Sherehe hufanyikaje? Na Wajerumani wanasemaje leo kuhusu hilo? Tunakuletea majibu.
Israel imewarejesha makwao wanaharakati wanne raia wa Italia ambao ni miongoni mwa mamia ya wanaharakati inaowashikilia, waliokuwa kwenye boti za misaada kuelekea katika Ukanda wa Gaza.
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amesema yuko tayari kusikiliza na kutafuta suluhisho la matatizo yanayokikabili kisiwa hicho. Ameyasema hayo Ijumaa 03.10.2025 katika hotuba yake kwa raia.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imewataka viongozi wa dini nchini kuweka kipaumbele katika kutoa elimu na mahubiri yenye kukemea rushwa kwa waumini wao. Hayo yamesemwa…
Uingereza imemteua Sarah Mullally kuwa Askofu Mkuu mpya wa Cantebury Ijumaa. Kuteuliwa kwake kunamfanya mwanamke wa kwanza kuwa kiongozi wa Kanisa la Anglikana nchini Uingereza katika kipindi cha miaka takriban…
Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesisitiza kuwa endapo kitapata ridhaa ya...
Katesh /Liwale. Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi...
Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula, WFP, limetangaza kuwa lina mpango wa kupunguza msaada wa chakula kwa maelfu ya watu nchini Somalia ifikapo mwezi Novemba mwaka huu.
Serikali ya Israel imewarejesha nyumbani wanaharakati wanne raia wa Italia, ikiwa ni hatua ya kwanza inayowalenga mamia ya wanaharakati waliokamatwa.
Mhandisi Omary ameendelea kusema kuwa ujenzi wa shule hiyo utakuwa na madarasa tisa na madarasa...
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amewataka Wajerumani kushikamana na kuanza upya. Ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya miaka 35 tangu zilizokuwa Ujerumani Mashariki na Magharibi zilipoungana na kuwa taifa moja.
Mamilioni ya watu nchini Somalia wanakabiliwa na baa la njaa wakati huu mashirika ya Kimataifa yakipunguza fedha za msaada kuyasaidia mashirika kama WFP kuendelea kutoa msaada. Imechapishwa: 03/10/2025 – 17:44…
Katika video ya moja kwa moja iliyotumwa siku ya Ijumaa, Andry Rajoelina alidai vijana waandamanaji ‘wametumiwa kuchochea mapinduzi. Imechapishwa: 03/10/2025 – 17:33 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara…
đź”´YU WAPI?....OKTOBA 03, 2025
Ndani ya muda mfupi kuanzia sasa, Simba itamtambulisha Dimitar Pantev kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo akirithi mikoba iliyoachwa wazi na Fadlu Davids aliyetimkia Raja Casablanca ya Morocco.
Laila wa NCCR-Mageuzi azindua kampeni akiahidi neema kwa Wazanzibari Jesse Mikofu...
Maraga, ambaye alistaafu mwaka 2021 akiwa Jaji Mkuu wa 14 wa Kenya, hakustaafu kama jaji wa...
Ujerumani Magharibi na Mashariki bado zinatofautiana kwa mambo mengi. Hali hiyo pia inawahusu vijana waliokulia katika Ujerumani iliyoungana. Ni nini chanzo chake? Mjumbe mpya wa Mashariki anajaribu kufafanua.
Kama mteja wa #AzamTV tunazidi kusogea karibu nawe kwa burudani na huduma rafiki zenye kukurahisishia maisha, kwa wewe unayetumia #AzamMaxApp hii hapa namna ya kuunganisha App na kisimbuzi chako cha…
#KIPIMAJOTO: ILANI YA CCM 2020-2025 JE,IMETEKELEZWA IPASAVYO KUJENGA IMANI KWA ILANI YA 2025-2030.
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA SHINYANGA: OKTOBA 03, 2025 - WAJASIRIAMALI WAOMBA SOKO LA MATUNDA
Sarah Mullally ameteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Canterbury, mwanamke wa kwanza kuwa katika nafasi hiyo katika historia ya Kanisa la Angilikana duniani. Imechapishwa: 03/10/2025 – 16:58 Dakika 1 Wakati wa…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
#HABARI: Mama mwenye watoto 7 na wajukuu 4 aliyefahamika kwa jina la Majabu Sufiani Mohamedi (52) Mkazi wa Kijiji cha Kwamgwe wilayani Handeni mkoani Tanga, amedaiwa kuuawa na mumewe wakiwa…
Kocha huyo ana leseni ya juu ya ukocha inayotolewa na Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Ulaya...
#HABARI: Issa Ramadhani (35), mkazi wa Mtaa wa Mnyakongo, Kata ya Nkuhungu, jijini Dodoma, anatuhumiwa kubaka na kuwalawiti watoto watatu wenye umri chini ya miaka mitatu, na kuwasababishia majeraha makubwa…
Migogoro ya kifedha ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki imezidi kuitafuna taasisi hiyo kubwa...
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Nenelwa Mwihambi, kutokana na kuwapo taarifa ya kusudio la wajibu...
INEC imesema hatua hiyo imezingatia masharti ya kifungu cha 68(1), (3) na (4) na 71(2) cha...
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi uboreshaji wa barabara katika wilaya za Karatu na Monduli, mkoani Arusha,…
Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa daraja la Msangano lenye thamani ya shilingi bilioni tatu katika barabara ya Chindi–Msangano, Wilaya ya Momba, Songwe. Daraja hilo litaunganisha…
Shirika la Kuendeleza Kilimo Hai nchini (Toam) na Wizara ya Kilimo wanatarajia kufanya mkutano wa nne wa kitaifa wa kilimo ikolojia hai, utakaoambatana na tafiti mbalimbali za sekta hiyo ambazo…
Dar es Salaam. Kila ninapofika sehemu mpya kwenye dunia huwa nina tabia ya kulinganisha hali...
Wapalestina wasiopungua 57 wameuawa kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na jeshi la Israel katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza kwa siku ya Alhamisi 02.10.2025 wakati Israel ikiendelea na mashambulizi makali.
Taarifa iliyotolewa leo na Rais wa TPSF, Angelina Ngalula inaeleza kuwa Massawe anakaimu nafasi...
Kwa mujibu wa taarifa hiyo ongezeko la muda linalenga kutoa nafasi kwa wanafunzi walioomba...