Ayatullah Khatami: Njia ya kukabiliana na uvamizi na jinai ni muqawama na kusimama kidete
Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema: "Njia ya kukabiliana na uvamizi na jinai za Wazayuni ni muqawama na kusimama kidete; njia hii imeonyesha kuwa njia pekee ya kuepusha…