Fufuni yakata unyonge Ligi Kuu Zanzibar
TIMU ya Fufuni kutoka Pemba, imekataa unyonge baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Kipanga katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), mechi ikichezwa Oktoba 2, 2025 kwenye…
TIMU ya Fufuni kutoka Pemba, imekataa unyonge baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Kipanga katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), mechi ikichezwa Oktoba 2, 2025 kwenye…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
Mtoto wa aliyewahi kuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amefikishwa katika mahakama ya Harare...
Mwanaisha Mdeme amewataka wananchi wa Kigamboni kumchagua ili akalete sauti yao bungeni na...
Mwaka 2022, FIFA iliifungua Urusi baada ya majeshi yake kuivamia Ukraine, licha ya Urusi kuandaa fainali ya Kombe la Dunia, hapo awali.
Kwa taarifa yako…nzi na funza wanaweza kukuinua kiuchumu… Fuatilia simulizi ya Denis Kamanzi, mwanzilishi wa BIOAKEMI, ambaye aliona fursa kwenye ufugaji wa nzi-chuma na funza. Fursa hii imebadili muelekeo wa…
Ally amesema kuwa mchakato wa kumsaka Kocha Mkuu mpya unaendelea hivyo mashabiki na wapenzi wa...
Ukosefu wa elimu ya masuala ya kisheria umetajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazochangia baadhi...
“Sasa ni kitu gani kilichokufanya ujitokeze licha ya kujua kuwa umeua” “Nimejitokeza ili niwaeleze ukweli polisi. Nilikuwa ninajua kwamba polisi walikuwa hawajui kuwa watu waliokuwa wananyongwa walishahukumiwa kunyongwa ila walitoroshwa…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa wito wa mshikamano wa kitaifa na kutegemea imani pamoja na nguvu ya wananchi katika kukabiliana na vitisho na vikwazo, akisisitiza kuwa mauaji ya kisiasa,…
#HABARI: Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwa wilayani Tandahimba mkoani Mtwara kwenye Mkutano…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imepongeza kuanza kutekelezwa kwa mkataba mpana wa ushirikiano wa kistratejia kati ya Iran na Russia.
Vikosi katili vya Israel vinaendelea kuongeza ukatili dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, vikisababisha vifo na majeraha kwa idadi kubwa ya watu, hususan katika maeneo ya kati…
Mwaka 2022, FIFA iliifungua Urusi baada ya majeshi yake kuivamia Ukraine, licha ya Urusi kuandaa fainali ya Kombe la Dunia, hapo awali.
Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah nchini Yemen amesema kuwa mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu Ukanda wa Gaza baada ya vita ni “ramani ya Kizayuni” inayolenga…
Takriban watu 14 wameuawa siku ya Alhamisi katika shambulizi lililofanywa na makundi ya wanamgambo dhidi ya kambi ya wakimbizi wa ndani katika jimbo la Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia…
Huyu mstaafu alifanya kazi njema akiwa mwajiriwa kwa miaka 40 na hakusumbuliwa na maradhi...
Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wameuita msafara wa kimataifa wa meli nyingi wa Sumud kuwa meli ya ukarimu na utu wa binadamu.
#MEZAHURU: Kipi kinasababisha Tasnia ya Urembo kuonekana kama uhuni kwa watoto wa Kike.? na vilevile kutokuwa na Mchango kwenye Jamii.
Alichelewa sana humo chumbani mpaka nikainuka na kumfuata. Nikamkuta bado akijitazama kwenye kioo. “Twenzetu, umeshapendeza,” nikamwambia. Alikuwa amevaa suruali ya jeans, t-shirt na viatu vya mchuchumio.
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
NAIROBI – Jiji la Nairobi litakuwa mwenyeji wa tamasha kubwa la kwanza barani Afrika linalolenga kuweka mikakati ya kutoa fidia na haki za kutokana na dhuluma za kihistoria. Tamasha hilo,…
Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam iko mbioni kukamilisha jengo la ghorofa tano la shule ya kisasa ya Olympio ambalo linatarajiwa kuongeza udahili wa wanafunzi wa shule ya awali…
Sekta ya nishati inasalia kuwa muhimu nchini Angola ikichukua karibu asilimia 75 ya pato la serikali
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: MACHIMBO YA BIASHARA....OKTOBA 03, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 03, 2025
Kunywa maji mengi husaidia kudumisha unyevu ukeni. Pia, maji husaidia kuondoa sumu mwilini...
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu
🔴KUMEKUCHA: ...OKTOBA 03, 2025
Ripoti ya WHO mwaka 2022 ilibaini kuwa ifikapo mwaka 2030, magonjwa yasiyoambukiza yatakuwa...
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 3, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Kwa mtu mzima mwenye afya njema, mwili huzalisha kati ya nusu lita hadi lita moja na nusu ya...
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu
Rais akiwa madarakani anapoomba kuchaguliwa muhula wa pili, anachopaswa kwanza ni kueleza...
Waandamanaji katika maeneo mbalimbali duniani wamelaani hatua ya Israel kuzuia msafara wa meli uliokuwa umebeba misaada ya kibinadamu kuipeleka Gaza, wakitoa wito kwa serikali ya Tel Aviv kuwekewa vikwazo.
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya msafara wa kimataifa wa meli nyingi wa Sumud ukielekea Ukanda wa…
Wananchi Waislamu wa Iran wamefanya marasimu ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrullah, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limeonya kwamba, kitendo chochote kipya cha uadui dhidi ya Iran kitakabiliwa na jibu kubwa zaidi.
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa jana Alkhamisi alitaka kuachiliwa mara moja kwa Waafrika Kusini na raia wengine wa kigeni wanaozuiliwa na jeshi la Israel, baada ya wanajeshi wa majini…
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameionya Marekani kuhusu uwezekano wa kuongezeka kwa mzozo kati ya Moscow na Kyiv endapo Marekani itaikabidhi Ukraine makombora ya masafa marefu aina ya Tomahawk.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova, ameikosoa Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa kwa kujiingiza katika masuala yaliyo nje ya mamlaka yake kwa kuunga mkono kurejeshwa…
Zaidi ya safari 17 za ndege zimefutwa katika uwanja wa ndege wa Munich, Ujerumani, kufuatia kuonekana kwa droni katika anga ya uwanja huo.
#KIPIMAJOTO: Kuharibu Miundombinu ya Umma kutokana na huduma mbovu. Je, ni suluhisho la tatizo?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 03, 2025
Wanaume wawili wa jamii ya Kiyahudi wamefariki dunia huku wengine watatu wakilazwa hospitalini wakiwa na majeraha mabaya kufuatia shambulio la gari na kisu lililotokea mjini Manchester, Uingereza.
Manchester City yaambulia sare ya 2-2 dhidi ya Monaco licha ya mshambuliaji wao Erling Haaland kupambana kusaidia timu