Maandamano Morocco kushinikiza mageuzi katika sekta ya afya
Maandamano mapya ya kudai mageuzi katika sekta za afya na elimu yamefanyika nchini Morocco kwa siku ya sita mfululizo, kufuatia vifo vya watu watatu vilivyotokea wakati wa makabiliano yaliyotokea jana…