Riba ya BoT kwa mabenki kubaki asilimia 5.75
Matokeo chanya yanayoonekana katika shughuli za kiuchumi yametajwa kuwa kichocheo cha kiwango...
Matokeo chanya yanayoonekana katika shughuli za kiuchumi yametajwa kuwa kichocheo cha kiwango...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi...
Waandamanaji wawili wameuawa na polisi nchini Moroco, katika maandamano yanayozidi kukua, ya kupinga namna serikali ya nchi hiyo inavyoshughulikia huduma za kijamii. Hivyo ni vifo vya kwanza kuripotiwa katika vurugu…
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi amewasihi...
Mfanyabiashara katika sekta ya utalii, Azizi Msuya (39), mkazi wa Sambarai wilayani Moshi...
Maboresho mfumo utoaji leseni za madini kupunguza urasimu...
Maboresho ya mfumo wa utoaji na usimamizi wa leseni za madini, yanatajwa kupunguza vitendo vya...
Mfalme Charles wa tatu wa Uingereza amesema ameshitushwa na kusikitishwa na shambulizi katika sinagogi moja mjini Machester Kaskazini Magharibi mwa Uingereza, lililowauwa watu wawili na kuwajeruhi wengine watatu.
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameitolea wito Israel kuwaachia mara moja wanaharakati wanaoiunga mkono Palestina, akiwemo mjukuu wa rais wa kwanza wa taifa hilo Nelson Mandela.
Waandaaji wa maandamano ya vijana ya kupinga serikali nchini Madagascar wameyasitisha maandamano hayo katika mji mkuu wa Antananarivo kwa saa 24, wakiwa na wasiwasi juu ya afya na nguvu ya…
Umoja wa Mataifa umesema mashambulizi yaliyofanywa na wanamgambo wa RSF ndani ya siku 10 mwezi uliopita katika mji uliozingirwa wa El Fasher nchini Sudan yaliwauwa watu 91.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Tulia Ackson amesema...
Watu wawili wameuawa na wengine kujeruhiwa katika shambulizi la gari na kisu nje ya sinagogi la Wayahudi kaskazini mwa Manchester. Waziri Mkuu Keir Starmer amerudi London kuongoza kikao cha dharura…
Tanzania imeahidi kuendeleza ushirikiano wa kijeshi na Misri ili kudumisha amani na kuongeza ujuzi baina ya nchi hizo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt.…
Maandamano yanaendelea nchini Morocco, kushinikiza mageuzi kuhusu namna huduma zinavyotolewa kwa wananchi, lakini pia kumaliza visa vya ufisadi. Imechapishwa: 02/10/2025 – 16:57 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara…
Mamia ya wanaharakati, akiwemo Greta Thunberg, mwanaharakati maarufu wa mazingira kutoka nchini Sweden, wamezuiwa na maafisa wa usalama wa Israeli, baada ya kukamatwa kwa meli na boti zilizokuwa zinasafirisha misaada…
Umoja wa Mataifa unataka hatua za haraka kuchukuliwa, kuzuia mauaji makubwa ya kikabila yanayoendelea kutekelezwa kwenye mji wa El-Fasher, Magharibi mwa nchi ya Sudan. Imechapishwa: 02/10/2025 – 16:30 Dakika 1…
Watu wawili wameuawa baada ya kugongwa na gari lililolenga mkusanyiko wa watu na wengine kushambuliwa kwa visu, wakiwa kwenye maeneo ya Hekalu mjini Manchester nchini Uingereza. Imechapishwa: 02/10/2025 – 16:25…
Zaidi ya watu 16,000 wameuawa tangu mwaka 2022 huko Haiti, kisiwa kilichokumbwa na ghasia za magenge, Umoja wa Mataifa umeonya leo Alhamisi, ukisema kwamba bila msaada wa kimataifa, “hali mbaya…
Love Bite, au alama nyekundu inayotokana na busu kali kwenye ngozi huzingatiwa kama ishara ya mapenzi, mara nyingi huwekwa shingoni na alama hii inabaki mwilini kwa muda.
Takriban watu 36 waliuawa na zaidi ya 200 kujeruhiwa katika tamasha la kidini katikati mwa Ethiopia, wakati viunzi vya mbao vilipowaangukia ndani ya kanisa lililokuwa likiendelea kujengwa.
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameungana na viongozi na waumini wa Kiislam katika dua ya kumrehemu hayati Ali Hassan Mwinyi. Dua hiyo iliyofanyika katika eneo alilozikwa Rais huyo…
Jumuiya ya Kisiasa ya Ulaya, imekuwa jukwaa muhimu la kukutanisha karibu mataifa 50 kujadili usalama, nishati na siasa. Kuanzia Prague 2022 hadi Copenhagen 2025, EPC imejidhihirisha kama chombo cha mshikamano…
Mgombea urais kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali yake itaendeleza utalii Arusha kwa kuboresha miundombinu na kuongeza vivutio vipya, ikiwemo utalii wa michezo. Amesema ujenzi wa uwanja wa…
Kufuatia msiba wa mwana mazingira na mtafiti mbobezi wa uhusiano wa sokwe, binadamu na mazingira, Dkt. Jane Goodall ambaye utafiti wake zaidi ya miaka 50 kuhusu sokwe ulimpa heshima na…
Rais Volodymyr Zelensky ameonya Ulaya kwamba mashambulizi ya ndege zisizo na rubani ni dalili Russia inataka kuongeza vita, akitoa uzoefu wa Ukraine kusaidia kujenga ulinzi. Je, Ulaya iko tayari kuzuia…
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran amesema kuwa, Marekani haina nia ya dhati ya kufanya mazungumzo.
Maandamano makubwa yameshuhudiwa katika nchi za Ulaya kupinga mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya uvamizi wa meli ya msafara wa kimataifa wa Sumud.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekana madai kwamba ukandamizaji wa kisiasa umeongezeka nchini humo wakati taifa hilo linapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Ripoti ya uchunguzi ya New York Times imefichua undumakuwili na kinga ya wanajeshi wa Marekani wanaotuhumiwa kwa uhalifu wa kivita nchini Afghanistan, ikihusisha kesi kama vile mauaji ya raia, utesaji…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha kikosi kikubwa zaidi cha usalama cha kimataifa kwa ajili ya Haiti kwa ajili ya kukabiliana na ghasia za magenge zinazoongezeka katika nchi…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antnio Guterres amelani vikali shambulio la kigaidi lililotokea leo kwenye sinagogi la Heaton Park Hebrew Congregation huko Manchester, nchini Uingereza, ambapo watu 2 waliuawa…
Kadri magenge ya uhalifu nchini Haiti yanavyoendelea kupanua wigo wa maeneo wanayoyadhibiti na kuendeleza vitisho kwa raia bila kusita, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limechukua hatua madhubuti…
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ametoa onyo kali kuhusu kuzorota kwa hali ya haki za binadamu nchini Haiti, akiiambia Baraza la Haki za…
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka ili kuzuia mashambulizi makubwa ya kikatili yanayoendeshwa kwa misingi ya…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuendeleza Mitaji, UNCDF, limeendelea kuwekeza katika kupunguza hatari za hasara za kifedha na kufungua fursa za mitaji nafuu kwa vijana, wanawake na sekta muhimu…
Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, wananchi wa Tanzania wameanza kutoa hisia kali dhidi ya CCM wakilalamikia huduma hafifu za kijamii. Je, sauti hizi za wazi ni…
Wamefunguka ,apungufu wanayoyaona kwenye mpira huo, Soma zaidi hapa
Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa Vassily Nebenzia, amewaambia waandishi habari kwamba nchi yake haitambui vikwazo vya Umoja huo vilivyorejeshewa Iran.
Shirika la afya Ulimwenguni limesema mripuko wa Ebola uliotangazwa katika Jamhuri ya Kidemkokrasia ya Kongo, mwanzoni mwa mwezi Septemba umesababisha vifo vya watu 42
Karibu viongozi 50 wa Ulaya wamekutana Copenhagen kujadili vita vya Ukraine, usalama wa bara na changamoto za kiuchumi huku Rais Volodymyr Zelensky akitafuta msaada zaidi kufuatia kupungua kwa uungwaji mkono…
Inaelezwa kuwa karne ya sasa, wanawake wengi huchelewa kuzaa kutokana na sababu mbalimbali kama masomo, kazi, biashara, na baadhi huanza kuzaa tu baada ya ndoa. Hali hii mara nyingine husababisha…
Msafara wa Sumud Flottilla wa takriban meli na mashua 45 ukielekea Gaza wazuiwa na wanaharakati wakamatwa na jeshi la Israel katika eneo la bahari la Kimataifa
Ni ukweli wa wazi kuwa upendo na mshikamano kwenye familia huchangia kwa kiasi kikubwa sana mafanikio ya wana familia kiuchumi na kijamii. Lakini isivyo bahati, katika baadhi ya familia mafanikio…
Katika siku za hivi karibuni, Rais Gustavo Petro wa Colombia, ameendeleza ukosoaji mkali dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani na sera za utawala wake.
Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya jaribio la kutoa ujauzito. Nini kifanyike ili kuzuia matukio kama…
Kufuatia malalamiko ya wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kuhusu huduma zisizoridhisha za mabasi ya mwendokasi, Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza mabadiliko katika uongozi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo…
“FU-AES” inawakilisha kikosi kilichounganishwa cha Muungano wa Nchi za Sahel. Hili ndilo lilikuwa lengo la ziara ya Jenerali Abdourahamane Tiani mjini Bamako siku ya Jumanne, Septemba 30. Mkuu wa nchi…
Jinai za Marekani wakati wa kuikalia kwa mabavu Iraq zilikuwa kubwa na mfano mchungu sana wa mauaji na uharibifu chini humo ambazo wavamizi wa Kimarekani walijaribu na hadi sasa wanaendelea…
Jamii nyingi duniani zinakabiliwa na tatizo la ukatili na hatua mbalimbali zimekuwa zikichukuliwa ili kupunguza matukio hayo. Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya ya Ilala, Joyce Maketa ameeleza aina za ukatili…