Takwimu za UNGA: Hotuba ndefu zaidi, Wanawake Wachache, na baadhi kutokuwepo
Kwa muda wa siku sita, safu ya viongozi wa dunia (194 kwa jumla, 24 tu kati yao wakiwa ni wanawake) walitoa hotuba kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kutoka…
Kwa muda wa siku sita, safu ya viongozi wa dunia (194 kwa jumla, 24 tu kati yao wakiwa ni wanawake) walitoa hotuba kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kutoka…
Hatma ya bidhaa nyingi za kilimo na viwandani kutoka Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kuelekea Marekani ipo mashakani kufuatia kumalizika kwa muda wa Mpango wa Ukuaji na Fursa za…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) leo huko Geneva, Uswisi kwa kushirikiana na wadau kutoka Nairobi, Kenya, wamezindua jukwaa la kidijitali linalounganisha vijana wa Afrika, Wakawell Youth Hackathon,u…
Rais wa Niger, Abdourahamane Tchiani amesema ulinzi na usalama ni nguzo kuu ya Shirikisho la Muungano wa Nchi za Sahel (AES), huku jumuiya hiyo ikijiandaa kuunda kikosi cha pamoja cha…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kurutubisha madini ya urani ni haki isiyopingika na isiyopokonyeka ya Jamhuri ya Kiislamu.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kurutubisha madini ya urani ni haki isiyopingika na isiyopokonyeka ya Jamhuri ya Kiislamu.
Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Jihadul Islami ya Palestina amekosoa vikali mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wenye vipengele 20 wa eti kumaliza vita vya mauaji ya…
Tetemeko kubwa la ardhi lilitokea katikati mwa Ufilipino jana Jumanne usiku limeua watu zaidi ya 70 na kujeruhi wengine kadhaa, maafisa wa eneo hilo wamesema hayo leo Jumatano.
Tetemeko kubwa la ardhi lilitokea katikati mwa Ufilipino jana Jumanne usiku limeua watu zaidi ya 70 na kujeruhi wengine kadhaa, maafisa wa eneo hilo wamesema hayo leo Jumatano.
Rais wa Colombia, Gustavo Petro amekosoa vikali sera za mwenzake wa Marekani na kusema kuwa, Donald Trump ni mshiriki wa mauaji ya kimbari huko Gaza na anapaswa kufungwa jela.
Rais wa Colombia, Gustavo Petro amekosoa vikali sera za mwenzake wa Marekani na kusema kuwa, Donald Trump ni mshiriki wa mauaji ya kimbari huko Gaza na anapaswa kufungwa jela.
Shuguli za serikali ya Marekani zimesimama rasmi baada ya wabunge kushindwa kukubaliana kuhusu mpango wa matumizi ya serikali.
NAIROBI – Afrika Mashariki inashuhudia mabadiliko kwenye matumizi ya huduma za mitandao baada ya kampuni ya kutoa huduma za mitandao ya Mawingu kupokea ufadhili wa hadi dola milioni 20 ili…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kukibadilisha Kikosi Maalumu cha Kimataifa nchini Haiti kuwa kikosi kamili cha kijeshi ili kukabiliana na magenge ya wahalifu yanayoitikisa nchi…
Makundi ya Muqawama katika eneo hili la Asia Magharibi yakiwemo ya Jihadul-Islami ya Palestina na Ansarullah ya Yemen yameuelezea mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya Ghaza…
Makundi ya Muqawama katika eneo hili la Asia Magharibi yakiwemo ya Jihadul-Islami ya Palestina na Ansarullah ya Yemen yameuelezea mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya Ghaza…
Nilipobisha mlango wa nyumba yake, Hamisa alikuja kunifungulia. Akanikaribisha ndani. “Karibu.” Sauti yake ilikuwa ya adabu na nidhamu. Niliomba Mungu asibadilike tena na kuwa chui.
Mzee alizipokea pesa hizo na kunishukuru. “Nitakapohitaji tena maelezo yako nitakufuata.” “Asante sana. Karibu na ninakukaribisha kwa mara nyinyine tena. Utakapohitaji kuja kwangu usisite, njoo tu.”
Nikaingia katika kile chumba. Mwanga uliokuwemo ulikuwa hafifu sana kwa sababu chumba chenyewe hakikuwa na dirisha. Ukuta wake wa upande wa nje ulijengwa kwa matofali na sehemu ya dirisha ilizibwa…
Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amezungumzia njama za maadui dhidi ya taifa la Iran na kusisitiza kwa kusema: "Ni jambo lisilo na chembe ya shaka…
Miaka sita baada ya kufunguliwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ramon kwa kelele na mbwembwe nyingi, ukiwa ni uwanja wa ndege wa pili kwa ukubwa wa utawala wa Kizayuni,…
Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alisema jana Jumanne kwamba, azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa mapigano mashariki…
Kadiri jinai na mauaji ya kimbari ya Israel yanavyozidi kuongezeka huko Ghaza, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Lebanon ndivyo ususiaji wa kimataifa unavyozidi kushika kasi na sasa hivi…
Taarifa kutoka nchini Uingereza zimefichua kuwa, nchi hiyo ya kifalme ya Ulaya iliupa utawala wa Kizayuni risasi 110,000 ndani ya mwezi mmoja tu ili Israel iendelee kufanya mauaji ya kimbari…
Aliyekuwa rais wa Senegal Macky Sall, wakati wa mahojiano yake nje ya nchi, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu deni lililoikabili Senegal. Baada ya kuondoka kwa rais huyo wa zamani,…
Kwa wiki kadhaa, hali ya sintofahamu imetawala juu ya mustakabali wa mkataba huu wa kibiashara ulioanzishwa chini ya utawala wa Bill Clinton kati ya nchi 32 za Afrika na Marekani.…
Watu zaidi na zaidi wanajiunga na vuguvugu la maandamano yanayotikisa mji mkuu wa Madagascar, Antananarivo. Licha ya tangazo la Andry Rajoelina siku ya Jumatatu, Septemba 29, la kufutwa kwa serikali…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Jumanne, Septemba 30, limeidhinisha azimio lenye lengo la kubadilisha Misheni ya Usaidizi wa Polisi ya Haiti inayoongozwa na Kenya kuwa kikosi imara zaidi,…
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ameashiria azma na irada thabiti ya Jamhuri ya Kiislamu mkabala wa mashinikizo ya maajinabi na kutangaza kwamba, taifa hili kamwe halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa.
Mahakama ya kijeshi katika Jamhuri yya Kidemokrasia ya Congo imemhukumu adhabu ya kifo aliyekuwa rais wa nchi hiyo Joseph Kabila, ikimtia hatiani kwa usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu.
Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amepongeza pendekezo la hivi karibuni la Rais wa Colombia wakati wa hotuba yake mbele ya Umoja wa Mataifa la kuundwa 'jeshi la…
Maandamano yanayoongozwa na vijana wa kizazi cha Gen-Z ya kushinikiza kuboreshwa huduma hospitalini na shuleni yameenea katika miji mbali mbali ya Morocco.
Sambamba na kusisitizia utayarifu wa Russia wa kutatua mgogoro wa Asia Magharibi, Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesisitiza kuwa Moscow haitashiriki katika mpango wa Rais wa Marekani juu ya…
Serikali ya Venezuela imetangaza kuwa itaamilisha "Dikrii ya Dharura ya Kigeni" ikiwa Marekani itaanzisha mashambulizi yoyote ya kijeshi dhidi ya nchi hiyo.
Haki ya kura ya turufu ni mojawapo ya masuala yenye utata kuhusu mamlaka ya wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Leo ni Jumatano tarehe 8 Mfunguo Saba Rabiul-Thani 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 9 Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe Mosi Oktoba 2025 Miladia.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Umoja wa Ulaya umesisitiza umuhimu wa kuwekeza katika ulinzi dhidi ya ndege zisizo na rubani barani Ulaya. Lakini Jumuiya hiyo imesema itachukua muda mrefu zaidi ili kujenga uwezo wa ulinzi…