Hospitali ya mwisho Al Fasher, Darfur yashambuliwa; mamia wahofiwa kufariki
Hospitali ya mwisho inayofanya kazi katika mji wa Al Fasher, Sudan, imeshambuliwa na mamia ya watu wanahofiwa kufariki baada ya wanamgambo kuudhibiti mji huo wiki hii, Shirika la Afya Ulimwenguni…