🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …OKTOBA 15, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 15, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 15, 2025
Wakati huu Tanzania ikijiandaa na uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, na kampeni za wagombea mbalimbali zikiendelea. Swali linaloibuka: Je, ilani za vyama vya siasa zinazingatia mahitaji ya vijana
Leo ni Jumatano mwezi 22 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1447 Hijria mwafaka na tarehe 15 Oktoba 2025 Milaadia
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu, Abbas Araghchi atazuru Uganda karibuni hivi kushiriki Mkutano wa 19 wa…
Rais wa Madagascar anayesakamwa na mashinikizo ya kujiuzulu, Andry Rajoelina ametangaza kulivunja Bunge kufuatia wiki kadhaa za maandamano dhidi ya serikali yake kote nchini, akisema ni muhimu kurejesha utulivu na…
Watumiaji wa mitandao ya kijamii wameikosoa vikali serikali ya India kwa kuendelea kuwatia mbaroni na kuwashtaki Waislamu wanaoendeleza kampeni ya nchi nzima ya 'Nampenda Muhammad'.
Balozi wa Venezuela nchini Iran, José Rafael Silva Aponte amesema Marekani inaihangaisha dunia nzima, ikiwa ni pamoja na Amerika ya Kusini, kwa kutumia kisingizio cha kuleta uhuru katika maeneo tofauti…
Umoja wa Ulaya unakabiliwa na idadi kubwa ya watu wasio na makazi inayoongezeka kwa kasi, mzozo ambao unachukua sura mpya kila siku.
Kiungo wa Ivory Coast Pacome Zouzoua amekuwa staa wa kwanza kutoka Ligi Kuu Bara kukata tiketi ya kwenda kwenye Fainali za Kombe la Dunia akiwa kwenye kikosi cha Ivory Coast,…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa