JKT Queens yapangwa na TP Mazembe Ligi ya Mabingwa Wanawake
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake 2025, JKT Queens, imepangwa Kundi B kwenye mashindano hayo baada ya leo Jumatatu Oktoba 27, 2025 kufanyika droo ya makundi…