Serikali nchini Tanzania inakabiliwa na shinikizo linaloongezeka kufuatia mauaji yaliyoshuhudiwa wakati na baada ya uchaguzi wa wiki iliyopita+++Ujerumani na Ghana zinataka kuimarisha mahusiano yao zaidi kwa kuendesha mashauriano ya kisiasa ya ngazi za juu.