7 Novemba 2025

Rais wa Marekani Donald Trump atangaza Kazakhistan kujiunga na Mikataba ya amani ya Abraham. Jeshi la Israeli lakamilisha mashambulizi dhidi ya maeneo ya kijeshi ya kundi la Hezbollah kusini mwa Lebanon. Wapiganaji wa kikosi cha Rapid Support Forces RSF nchini Sudan, wakubali pendekezo la makubaliano ya amani ya kibinadamu.

https://p.dw.com/p/53EIe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *