Jumamosi ya Novemba 15, timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakuwa uwanja wa Al Salam, jijini Cairo ikicheza mechi ya kirafiki na Kuwait.

Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

#FIFABreak #TaifaStars #Kuwait

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *