
Ghana yafichua sababu ya ajali ya helikopta iliyoua watu wanane, wakiwemo mawaziri, mwezi Agosti
Ajali ya helikopta ya kijeshi nchini Ghana iliyowaua watu wanane, wakiwemo mawaziri wa ulinzi na mazingira, ilisababishwa na hali mbaya ya hewa, kulingana na uchunguzi rasmi uliochapishwa Jumanne.