Uturuki inakabiliwa na “janga” wakati kiwango cha uzazi kinashuka hadi 1.48, anaonya Erdogan

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema kwamba kupungua kwa kiwango cha uzazi kunatoa onyo kali za tahadhari kuhusu mustakabali wa nchi, na kwamba hakuna anayeuthamini mustakbali wa taifa hili anayeweza kukaa kimya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *