Muhtasari: Trump aonya juu ya zingatio la kufungwa kabisa kwa anga ya Venezuela—-Ujumbe wa Ukraine njiani kuelekea Washington kwa mazungumzo ya kumaliza vita—–Idadi ya vifo kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi Kusini-mashariki mwa Asia, yapindukia watu 400