Walimu wa Sekondari ya Mndeme iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Vijijini, wameanzisha kilimo cha kabeji ili kurahisisha upatikanaji wa mboga kwenye chakula cha wanafunzi shuleni.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *