Baada ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam kurejea katika Barabara ya Morogoro kati ya Ubungo Maji hadi Gerezani n…
Baada ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam kurejea katika Barabara ya Morogoro kati ya Ubungo Maji hadi Gerezani na Kivukoni, abiria wameziomba mamlaka ziharakishe kurejesha huduma hiyo…