Ripoti ya kushtusha ya Umoja wa Mataifa; mauaji ya kimbari ya WapalestinaGhaza yangali yanaendelea
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza yangali yanaendelea.
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza yangali yanaendelea.
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeandika barua ya wazi kuhusu mitego iliyowekwa na Wazayuni kupitia kile kinachodaiwa ni mazungumzo ya amani na kusema kuwa, lengo la mazungumzo hayo ni kulitwisha…
Afrika Kusini imesema kuwa, raia wake 17 waliojiunga na makundi ya mamluki katika vita vya Russia na Ukraine wameomba msaada wa kuokolewa kutoka kwenye eneo la Donbas ambako mapigano yanaendelea.
Mafuriko makubwa yamelikumba Jimbo la Nile nchini Sudan na kupelekea zaidi ya watu 30 kupoteza maisha na maelfu ya wengine kukwama kutokana na nyumba na maeneo yao kujaa maji ya…
Leo ni Ijumaa tarehe 16 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 7 Novemba 2025.
Shirika la kutetea haki za binadamu, Independent Medico-Legal Unit (IMLU) limeelezea wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa vifo mikono ya polisi nchini Kenya+++Rais wa Ujerumani Frank -Walter Steinmeier amewahimiza wafanyabiashara wa Ujerumani…
Rais wa Marekani Donald Trump atangaza Kazakhistan kujiunga na Mikataba ya amani ya Abraham. Jeshi la Israeli lakamilisha mashambulizi dhidi ya maeneo ya kijeshi ya kundi la Hezbollah kusini mwa…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki ulimwenguni Papa Leo XIV amekutana na Kiongozi wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas, ikiwa ni mara ya kwanza kwa viongozi hao kukutana.
Picha mpya za satelaiti nchini Sudan, zimefichua ushahidi wa mauaji ya nyumba kwa nyumba, makaburi ya halaiki pamoja na maeneo yaliyotapakaa damu na miili inayoonekana kwenye udongo katika mji wa…
Mwili wa Mollel ulikuwa ni sehemu ya miili mingine 22 iliyorudishwa kutoka kwa makubaliano ya kusitisha vita vya Gaza, yaliyofikiwa Oktoba 10.
Baraza la Wawakilishi Zanzibar limekutana kwa mara ya kwanza, baada ya kumalizika uchaguzi mkuu uliokirejesha madarakani chama cha mapinduzi, CCM, chini ya Rais Hussein Mwinyi.
Tanzania bado iko kwenye mshtuko kutokana na vurugu zilizoshuhudiwa wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, ambao waangalizi wa kimataifa wanasema haukuzingatia haki na haukuwa huru.
Hatua hiyo inafuatia nchi hiyo kukumbukwa na vimbunga vilivyoathiri uzalishaji wa chakula.
Siku ya Alhamisi, mahakama hiyo ilimkuta Kony na hatia ya makosa mbalimbali, ikiwemo mauaji, ubakaji na utesaji.
Kwa mujibu wa tovuti ya takwimu za soka, CIES imebaini orodha ya wachezaji chipukizi wenye umri...
Serikali ya Israel imesema, imepokea mabaki ya mwili wa kijana wa Kitanzania, Joshua Mollel...
Mwalimu mmoja, raia wa Kenya ni miongoni mwa watu waliouawa wakati wa ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi wa utata nchini Tanzania. John Okoth Ogutu aliuawa kwa kupigwa risasi na hadi…
Upatikanaji wa huduma kwa wananchi katika ofisi za serikali za mitaa za Tarafa ya Kibamba na...
Jeshi la Israel limefanya mfululizo wa mashambulizi ya anga dhidi ya miundombinu ya kundi la Hezbollah katika maeneo kadhaa ya upande wa Kusini mwa Lebanon siku ya Alhamisi 06.11.2025.
Wanamgambo wa kundi la RSF la nchini Sudan wamesema wameuridhia mpango wa usuluhishi ulioratibiwa na Marekani wa kusitisha vita ili kupisha msaada wa kiutu.
Korea Kaskazini imeukosoa vikali utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump kwa kuiwekea kile ilichokiita "vikwazo vya kukarahisha" na imeapa kuwa italipa kisasi.
soma zaidi hapa...
Kimbunga Kalmaegi kimeipiga Vietnam Alhamisi 06.11.2025 na kuzilazimu mamlaka kufuta mamia ya safari za ndege. Kimbunga hicho kimetua Vietnam baada ya kusababisha vifo vya watu wasiopungua 140 nchini Ufilipino.
Wakati muda ukitajwa kuwa ni tiba kubwa, wataalamu wengine wa masuala ya afya ya akili na...
Serikali ya Afrika Kusini, imesema imepokea simu za malalamiko kutoka kwa raia wake 17 ambao wamejiunga kwenye kikosi cha mamluki wanaopigana kwenye vita kati ya Urusi na Ukraine. Imechapishwa: 06/11/2025…
Madai ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba kuna āmauaji ya halaiki dhidi ya Wakristoā nchini Nigeria yanapotosha uhalisia wa mzozo unaochochewa na migogoro ya rasilimali, yanahatarisha uhusiano na mshirika…
Vurumai zilishuhudiwa kote nchini Tanzania wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, baada ya uchaguzi huo uliokuwa na utata kusababisha maandamano makubwa yaliyokumbwa na vurugu.
WAKATI Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), likisogeza mbele kuanza kwa mechi za msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), wababe wa ligi hiyo Simba na Yanga zenyewe zitauaga mwaka…
Ni miaka 16 sasa tangu kutokea kifo cha Mfalme wa Pop, Michael Jackson āMJā aliyefariki dunia...
Klabu ya Barcelona inaonekana kuvutiwa na kiwango cha Marcus Rashford kiasi cha kutaka...
Soma zaidi hapa...
Shirikisho la Mpira wa Miguu la kimataifa (FIFA) limetangaza kuanzisha Tuzo ya Amani ya FIFA...
Rekodi nne ziliwekwa na Arsenal usiku wa juzi wakati ilipoibuka na ushindi wa mabao 3-0 ugenini...
Vurugu zilizosababishwa na maandamano yaliyotokea Oktoba 29, 2025 hazijaacha maumivu tu kwa...
Wataingia ndani ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK) au watasusia Hilo ni swali...
Kwa mujibu wa nyota wa New England Patriots, Stefon Diggs, na mpenziwe rapa wa Marekani, Cardi...
Rais wa Camerun Paul Biya, mwenye umri wa miaka 92, ameapishwa mnamo Novemba 6, 2025, kwa muhula wa nane. Imechapishwa: 06/11/2025 – 13:04 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Mkutano wa Pili wa Dunia kuhusu Maendeleo ya Kijamii umehitimishwa hii leo huko Doha, nchini Qatar, kwa wito kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za haraka kutekeleza…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) limezindua ripoti mpya leo pembezoni mwa Mkutano wa Mawaziri wa Afya wa G20 uliofanyika Limpopo, Afrika Kusini, likitoa wito kwa hatua…
Utafiti mpya wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu UNODC umeonesha kupungua kwa kiasi kikubwa kwa kilimo cha mmea wa afyuni (Opium) nchini…
Mwaka 2015, Umoja wa Mataifa ulizindua Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), malengo 17 yanayolenga kumaliza umaskini, kulinda mazingira, na kuhakikisha ustawi kwa wote ifikapo mwaka 2030. Hata hivyo, kulingana na…
Mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la kuhudumia watoto UNICEF, afya duniani WHO, linalohudumia wakimbizi wa kipalestina UNRWA na wizara ya afya ya Palestina wamezindua kampeni maalum ya chanjo, lishe…
Wanaohifadhi misitu kupatiwa fedha kulinda tabianchi Jumla ya nchi 74 zina sifa ya kushiriki kwenye mfuko huko Barani Afrika DRC na Ghana zimeshaingia kwani zina misitu ya kitropiki
Johan Borgstam, Mjumbe maalum wa Umoja wa Ulaya kwa kanda ya Maziwa Makuu, ana wasiwasi kuhusu hali ya mashariki mwa DRC. Anahitimisha ziara ya siku nyingi nchini humo, ikiwa ni…
KOCHA wa zamani wa Yanga, Mzambia Noel Mwandila ameteuliwa na Shirikisho la Soka la Zambia (FAZ) kuwa Mkufunzi wa washambuliaji wa timu ya taifa ya nchi hiyo, Chipolopolo kwa ajili…
BAADA ya kuchangia mabao mawili ya Ligi Kuu Bara akiwa na kikosi cha Fountain Gate, mshambuliaji wa timu hiyo, Mudrik Abdi Shehe 'Gonda', amesema taratibu anaanza kuzoea mazingira na ushindani,…