Singida BS kuifuata Pamba Jiji kesho
KIKOSI cha Singida Black Stars kinaondoka jijini Dar es Salaam kesho Alhamisi ili kuwahi pambano lijalo la Ligi Kuu Bara dhidi ya Pamba Jiji, huku kocha msaidizi wa timu hiyo,…
KIKOSI cha Singida Black Stars kinaondoka jijini Dar es Salaam kesho Alhamisi ili kuwahi pambano lijalo la Ligi Kuu Bara dhidi ya Pamba Jiji, huku kocha msaidizi wa timu hiyo,…
Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsène Wenger amefichua kwamba Liverpool ilivuruga mfumo wake wa...
Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa) kimeeleza huzuni na kutoa pole kwa Watanzania...
Dar es Salaam. Wakati Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) likitangaza matokeo ya mtihani wa...
Madai ya Trump kuhusu mauaji ya halaiki ya Wakristo nchini Nigeria na vitisho vya mashambulizi ya kijeshi ni muenendo waliyozowea Marekani kwa kisingizio cha misaada kwa watu.
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, kimesema kuwa Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, amefunguliwa mashtaka ya ugaidi — siku chache baada ya ghasia za uchaguzi mkuu.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amekosoa tuzo ya Nobel ya Amani ya mwaka 2025, na kusema tuzo hiyo imepoteza uhalali wake kutokana na kupewa kwa Maria…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amekosoa tuzo ya Nobel ya Amani ya mwaka 2025, na kusema tuzo hiyo imepoteza uhalali wake kutokana na kupewa kwa Maria…
Iran imetoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukutana kwa dharura kufuatia kauli za “kushtua sana” zilizotolewa na Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu kuanza tena majaribio…
Iran imetoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukutana kwa dharura kufuatia kauli za “kushtua sana” zilizotolewa na Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu kuanza tena majaribio…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria, Yusuf Tuggar, amepinga madai ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mauaji ya Wakristo nchini Nigeria, akionya dhidi ya kauli zinazoweza kuchochea mgawanyiko…
Maonesho ya 16 ya Teknolojia ya Nano ya Iran yamefanyika katika Uwanja wa Maonesho wa Kimataifa jijini Tehran, yakileta pamoja zaidi ya kampuni 150 za kiteknolojia.
Maonesho ya 16 ya Teknolojia ya Nano ya Iran yamefanyika katika Uwanja wa Maonesho wa Kimataifa jijini Tehran, yakileta pamoja zaidi ya kampuni 150 za kiteknolojia.
Video za kushtua zimeibuka zikimuonesha kamanda wa kikundi cha waasi wa RSF nchini Sudan akijigamba kwa kuwaua binafsi zaidi ya raia 2,000 wakati wa utekaji wa mji wa El Fasher…
Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kuelimisha umma kuhusu Tsunami Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesisitiza umuhimu wa kuwekeza katika kujiandaa dhidi ya mawimbi hayo makubwa…
Nchini Kenya, shirika la kiraia la FODDAJ au la Forum for Women Development, Democracy and Justice linatekeleza kivitendo lengo namba 3 la Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs la afya bora…
Rais wa mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Annalena Baerbock ametembelea wakimbizi wa kipalestina huko Doha nchini Qatar kuwajulia hali na kujionea maisha yao baada ya…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) limetoa takwimu mpya zinazoonesha kuwa mabadiliko ya tabianchi yanatarajiwa kudhoofisha kwa kiwango kikubwa uzalishaji wa kilimo na ustawi wa binadamu…
Mienendo ya wafanyabiashara kufunga maduka yao jijini Kampala nchini Uganda kama njia ya kugoma imeanza kuwa chukizo kwa wateja. Wafanyabiashara wanasema hatua hiyo ni kupunguza mzigo wa kodi inayotozwa na…
Ijumaa ya Novemba 14, timu ta Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakuwa uwanja wa Al Salam, jijini Cairo ikicheza mechi ya kirafiki na Kuwait. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 3:00…
Zohran Mamdani,mwenye umri wa miaka 34 na anayejitambulisha kama msoshalisti, amechaguliwa kuwa Meya wa mji wa New York.
Zohran Mamdani, kutoka chama cha Demokrat alichaguliwa kuwa meya wa Jiji la New York siku ya Jumanne, akimaliza ushawishi wa muda mrefu wa gavana wa zamani Andrew Cuomo aliyesimama kama…
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA chadai kuwa vikosi vya usalama vilikuwa vikitupa miili ya mamia ya waliouawa katika ghasia za uchaguzi.
Mabaki ya mateka yaliokabidhiwa kwa Israeli na kundi la Hamas jana jioni yametambuliwa kuwa ya mwanajeshi aliyetakwa nyara mnamo Oktoba 7, 2023. Haya yamesemwa mapema leo na jeshi la Israel.
Iran lazima iimarishe ushirikiano wake na wakaguzi wa Umoja wa Mataifa ili kuepuka kuzidisha mvutano na nchi za Magharibi.Haya yameripotiwa na gazeti la Financial Times lililomnukuu mkuu wa Shirika la…
Nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya bado hazijafikia makubaliano kuhusu malengo muhimu ya uzalishaji wa hewa chafuzi kabla ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa wa COP30 utakaofanyika wiki…
Vikosi vya usalama nchini Uganda vimesema kuwa vimemuua mganga mmoja kwa jina Christian Asuman Muganzi, anayedaiwa kuongoza mashambulizi ya kuratibiwa wikendi iliyopita dhidi ya vituo vya polisi na jeshi .
Tayari Rais Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
NBC Premier League inaendelea wikiendi hii Jumamosi Novemba 8, Saa 10:00 jioni Pamba Jiji watakuwa uwanja wa nyumbani CCM Kirumba wakiwakarobisha Singida BS. Saa 1:00 usiku, JKT Tanzania watakuwa dimba…
John Okoth Ogutu, Mkenya mwenye umri wa miaka 33 aliyeishi Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi, ameripotiwa kuuawa kwa risasi wakati wa machafuko yaliyotokea Dar es Salaam baada ya uchaguzi.
Johari ameapishwa baada ya kuteuliwa na Rais Samia Novemba 3, 2025, saa chache baada ya Samia...
Yanga imeamua kucheza mechi zake za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu...
Rais Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyopewa na Katiba ya nchi, amewaita wabunge wateule wote...
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Ambwene Yessayah ‘AY’ ameweka wazi imani yake kwenye muziki kwa...
KLABU ya Yanga imetangaza kuwa, mechi zake za nyumbani katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu itatumia Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Zanzibar.
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize amefanyiwa upasuaji wa goti na anatarajia kuwa nje ya uwanja kwa wiki nane hadi kumi.
Matokeo hayo yametangazwa leo, Jumatano Novemba 5, 2023 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said...
Msanii chipukizi wa muziki nchini, Diameter Pallet ambaye anatamba na wimbo ‘Kidampa’, ameweka...
Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally ndiye atamsaidia Miguel Gamondi katika benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.
Nyota wa soka wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ameibuka tena na kuishambulia Manchester United...
Gamondi alitangazwa jana kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars baada ya mkataba wa Hemed...
Othman amesema jambo lolote litakalofanyika lazima watawashirikisha wanachama na hakuna uamuzi...
Sudan imekariri wito wake kwa jamii ya kimataifa ikitaka kufanyika juhudi za kuzuia mtiririko wa silaha kwa wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) na kulitaja kundi hilo kuwa…
Duru za Umoja wa Mataifa zimeripoti kuwa askari usalama vya Cameroon wameuwa raia 48 katika maandamano ya kupinga kuchaguliwa tena Rais Paul Biya, mtawala mzee zaidi duniani.
Zohran Mamdani mbunge Muislamu amechaguliwa kuwa Meya wa 111 wa jiji la New York, mtu wa kwanza mwenye asili ya Asia Kusini na wa kwanza aliyezaliwa barani Afrika kuongoza jiji…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas katika Ukanda wa Gaza imesema kuwa haiwezakani kutumwa kikosi chakijeshicha kigeni katika eneo hilo ambacho kitahudumu kama mbadala wa jeshi vamizi la…
Kwa watumiaji wa dizeli wataendelea kutumia Sh2,704 kwa lita moja ya mafuta kama ilivyokuwa...
Kwa watumiaji wa dizeli wataendelea kutumia Sh2,704 kwa lita moja ya mafuta kama ilivyokuwa...
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, imekanusha kama ya uongo na yenye hatari madai kwamba makundi yenye misimamo mikali katika eneo hilo yanawalenga watu wa dini fulani…