Mazungumzo ya kumaliza vita vya Ukraine yanakwenda vyema – asema Rubio
Mazungumzo hayo yaliyofanyika Florida, yalihudhuriwa na wajumbe wa Ukraine wakiongozwa na katibu wa baraza la usalama la taifa Rustem Umerov, ambye ndiye mpatanishi mkuu mpya wa Ukraine.