Hali ya sintofahamu imeendelea kukumba makaburi ya Dodoma, yaliyopo Mtaa wa Mageuzi, Manispaa ya Shinyanga kufuatia kuibuka kwa wizi wa vyuma vilivyotumika kujengea makaburi.

Mwenyekiti wa Mtaa wa Mageuzi, Vitalis Mugisha amesema tukio hilo limebainika baada ya baadhi ya ndugu wa marehemu kutoa malalamiko kuwa vyuma vilivyowekwa kwenye makaburi ya jamaa zao vimekuwa vikiibwa na huenda vinauzwa kama chuma chakavu.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *