Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itahakikisha inaongeza bajeti katika kusimamia utoaji wa huduma za afya kwa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi, ili kuimarisha upatikanaji wa huduma hizo kwa uhakika.

Hayo yamebainishwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah, kisiwani Unguja, wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *