Shirika la Afya Duniani linaeleza kuwa, baada ya miongo kadhaa ya maendeleo, vita dhidi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) sasa ipo njia panda kutokana na ukweli kwamba huduma za kuokoa maisha zimetatizwa, na jumuiya nyingi zinakabiliwa na udhaifu mkubwa kufuatia kusimamishwa kwa ufadhili wa baadhi ya shughuli za kupambana na ugonjwa huo.

Unashauri hatua gani zichukuliwe ili kuimarisha mapambano dhidi ya VVU?

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *