Today
Jumapili hii Desemba 07, katika NBC Premier League inapigwa Derby ya Mzizima
Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Benjamin Mkapa akiwakaribisha AzamFC.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 11:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Mara ya mwisho timu hizi zilipokutana zilitoka sare ya 2 – 2.
Je, safari nii nani kuondoka na alama tatu?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#MzizimaDerby #SimbaSC #AzamFC #NBCPL