Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC), kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati, imeanza mikakati ya kuhakikisha matumizi ya nguvu ya nyuklia yanakuwa na manufaa, hasa katika uzalishaji wa nishati ya umeme nchini.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)