Baadhi ya watoto wenye mahitaji maalum mkoani Iringa wanaendelea kukabiliana na mazingira magumu ya kutelekezwa katika vituo vya malezi, hali inayoongeza majeraha ya kisaikolojia na kuzidisha changamoto zao za ukuaji.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi