“Nimesema ndani ya siku 100 nitaunda tume ambayo itafanya kwanza maridhiano, halafu tuingie kwenye mchakato wa katiba mpya…” — Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam.
#AzamTVUpdates
✍Jairo Mtitu
Mhariri | John Mbalamwezi