Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar imetoa siku saba kwa wananchi kisiwani Pemba waliojenga nyumba na maduka katika maeneo ambako barabara zinaongezwa kusitisha mara moja shughuli hizo, kwani wananchi wote walioathiriwa na upanuzi wa barabara tayari wameshalipwa fidia.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi