Rais wa Urusi, Vladimir Putin, anaanza leo ziara ya siku mbili nchini India katika juhudi za kuimarisha ushirikiano, hususan katika sekta ya ulinzi+++Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa likisema limebaini kile linachodai kuwa ni mbinu zinazotumiwa na baadhi ya watu wanaohamasisha maandamano yanayotarajiwa kufanyika Desemba 9.