“Kwa Tanzania ambao wanaandaa AFCON tena kwa Mataifa Matatu, sehemu Moja nzuri ya kujifunza ni katika kombe la Dunia linalofanyika katika Mataifa Mexico, Canada na Marekani”- @scanda24, Mchambuzi wa Michezo.
#sentroCloudstv
#LainiYaWana
#Clouds26Nyoosha