Mwanamitandao maarufu Suzy Bale amepatwa na msiba mkubwa baada ya kufiwa na mtoto wake wa kwanza, Mwanaisha Saimon Emly, taarifa ambazo zimethibitishwa na watu wa karibu na familia.
Kwa mujibu wa ndugu, mwili wa marehemu umehifadhiwa nyumbani Kibamba, Luguruni ambako msiba unaendelea. Ratiba ya mazishi inaeleza kuwa marehemu atazikwa kesho katika makaburi ya Kigogo kuanzia saa saba mchana.
NB:-Kama huja follow akaunti yetu follow ili uweze kupata habari nyingi zaidi pia usisahau ku bonyeza kikengere ili kupata notification pindi habari zinapopostiwa
:::
#standupcomedy #tanzaniatalent #talent #wcb4life #wemasepetu #hiiniyetusote #watapatabusana#diamondplatnam #shilawadu #soudybrown #millardayoupdates #kondeboy #wasafitv #thisisnigeria #millardayo #daudatransferupdates #simbasc #jeshi #diamondplatnumz #nigeria #kondegang #bangokubwaaa #udakuspecial #cloudstv#eplusmedia