VISHINDO VYA @nomaseries | Kama uliwaona jana kwenye kipindi maalum cha kuikaribisha tamthilia ya #PichaYangu, mwandaaji wa #NomaSeries @adamoo14 na mwingizaji wa tamthilia hiyo @alexander_malick walivaa T-Shirt โspeshoโ zenye ujumbe wa NOMA kufanya poa kwenye kila idara yaani ni mwendo wa A tu ๐
Kuna anayebisha ๐คญ๐
