” Hata Urusi wana maslahi yao nchini kwetu kwa sababu hakuna biashara bila maslahi lakini tumekubali kufanya biashara na Urusi kwa sababu wanazingatia maslahi yetu zaidi tofauti na wengine wanaozingatia maslahi yao zaidi “
Captain Ibrahim Traore Rais wa Burkina Faso🇧🇫