Umoja wa Afrika umelaani vikali jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Benin na ukawataka wanajeshi kurejea katika kambi zao. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema anatazamia kuingia katika awamu ya pili ya mpango wa kusitisha mapigano Gaza unaofadhiliwa na Marekani “hivi karibuni. UN: Kipindi cha mpito cha Syria bado ni tete