“Walimuua Sankara kisha wakaweka Rais wanayemtaka wao kwa maslahi yao, baada ya kumuondoa Rais waliyemtaka wao sasa wanajaribu kutugawa kupitia sisi kwa sisi kupitia vikundi vya uasi, wanatufanya tupigane sisi kwa sisi raha yao kuona Burkina faso🇧🇫 inakuwa na Rais wanayemtaka wao na sio Rais anayetakiwa na wananchi kwa maslahi ya nchi “
Captain Ibrahim Traore Rais wa Burkana Faso🇧🇫