π±π| MBAPPE HAWEZI KUENDESHA GARI !?
Mwanzoni mwa msimu, Kylian MbappΓ© alipokea BMW yake ya kifahari iliyotengenezwa maalum kupitia ushirikiano wa Real Madrid na kampuni hiyo β lakini bado HAIWEZI KUENDESHA! ππ₯²
Akiwa na umri wa miaka 26, MbappΓ© bado hajafaulu mtihani wa udereva na kisheria hawezi kukaa siti ya dereva aendeshe gariπ³π.
Ameshawahi kueleza kuwa leseni haikuwa kipaumbele kwa sababu taaluma yake ya soka ilianza mapema sana. Kwa sasa, anategemea wazazi wake au dereva binafsi kumpeleka mazoezini na kwenye matukio maalumu. π’