CHANGAMOTO YA MAJI DAR, SAM ANAZURURA NA MADUMU YAKE.
Kutokana na hali ya changamoto ya maji iliyoripotiwa hivi karibuni na taarifa kutolewa na Mamlaka za maji, @dr.samsasali360 anataka kusoma magazeti na madumu yake leo ndani ya Clouds360!
Kaa Karibu na Timu ya Taifa #Clouds360 hapo baadae watazungumza na Waziri wa Maji juu ya changamoto hii ya maji kwa hapa Dar na Pwani kiujumla.