Disemba to remember, mwezi ambao hubeba mambo mengi sana, KACHERO wa Usiku Kama Mchana @ntibashima_tz anatusanua mengine ya usiku kwenye Shubiri ya usafiri wa Mikoani imekuwaje Mwezi huu…
Ni kuanzia Moja na nusu usiku kwenye #ukm ya Sentro ya Clouds Tv.
#ukm #usikukamamchana #SentroCloudsTv.