“Jiji la Dar es Salaam linategemea upatikanaji wa maji na kuhudumiwa na Mamlaka ya Maji ya DAWASA. Na Ina vyanzo vyake vikuu vya maji inavyovitegemea ambavyo ni Ruvu Juu/Chini na visima vya Kimbiji, Kigamboni.

“Mitambo yetu ina uwezo wa kuzalisha maji kwa Jiji la Dar es Salaam kwa siku Lita Mil. 5 na Thelathini na Nne. Eneo la mtambo la Ruvu Chini peke yake una uwezo wa kuzalisha Lita Mil. 270.

“Katika mtambo wa Ruvu Chini ndio tumepata hitilafu kwa sababu kina cha maji kuwa chini unaosababisha uchelewaji wa mvua. Kwa hiyo kutoka kuzalisha Lita Mil. 270 hadi Lita Mil.135”-

“Tupo hapa tumeweka kambi Mimi na Katibu wangu na hiki kiasi cha Lita 190 kilichopo kigaiwe kwa usawa”- Juma Aweso,Waziri wa Maji

#Clouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *