LEO USIKU KWENYE PICHA YANGU
Baada ya mazonge mengi kutokea, Bisura amerudi kwa Mzee Maega…Watoto hawamjui mama yao. Mussa anapewa misheni ngumu anaonekana kuiwekea ugumu…Je, ni misheni gani na wapi? Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD