NO FREE LUNCH IN AMERICA
Donald kachukua muda wake kuwapatanisha alafu sharti Makampuni ya Marekani yachimbe madini Congo na deal done ✅
Tatizo la Congo linamalizwa na aliyelianzisha kwa maslahi yake, kimkakati ni kuwa hakuna shaka kuwa utilivu huu utakuwa wa muda tu, ingawa tunaomba uwe utulivu wa siku zote pale Congo
All the best Africa🌍