“October 29 kulipotokea vurugu watu walikaa ndani karibu siku Sita. Hawakutoka nje shughuli hazikufanyika, biashara hazifanyiki watu wa kwanza waliopata madhara ni akina nani? Na vijana na tukatae kujihusisha na matukio ambayo yanasababisha mambo yetu yakapata madhara. Vijana tusikubali amani ya nchi yetu iondoke kwa namna yoyote ile. Haki itatolewa na amani tunahitaji”- @gersonmsigwa, Msemaji wa Serikali.

#Clouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *