towa maoni yake kuhusu chuki zinazo endelea kwa wasanii wakubwa
Ameandika yafwatayo “Daaah wasanii tunachukiwaa na baadhi ya watu wengiisana ambao tunaishi nao kila siku na sijui kwanini tuna pigwa vitaa sijui hata kaka zetu walwakoseaga nini maana si wengine ni wachanga na ni wageni kwenye hili game la mziki na hatujui siri nyingiza mzikina hatuna mamlaka ya kuongerea mziki wetu coz wakubwa wapo lakini tunachukiwa sana lakini mashabiki zetu wala hata hawatuchukii ila wanapandikizwa tuu MUNGU awalinde mashabiki zetu wote walioko pande zote duniani MUNGU IBARIKI TANZANI MUNGU WABARIKI WASANII WOTE WA TANZANIA WAENDELEE KUWA JUU KILELENII””
Maoni yako ni yapi kwenye hili