Bisura ameleta mpasuko nyumbani kwa mzee Maega…Watoto wameanza kukwaruzana…Shakei anampanga Sheiza nani wa kumsikiliza kwenye jumba la mzee Maega.

Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *